FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

wachezaji wetu wa simba wanaremba.....baadhi ya wachezaji wanakaa sana na mpira.....kunakosekana pass za hakara... poor plan......wamedominate mpira/mchezo but they failed to breakthrough.
 
naona Orlando target yao ni kupata draw au kufugwa goli chache na wanatumia counter attack SSC wawe makini
 
wachezaji wetu wa simba wanaremba.....baadhi ya wachezaji wanakaa sana na mpira.....kunakosekana pass za hakara... poor plan......wamedominate mpira/mchezo but they failed to breakthrough.
Saoura walimiliki mpira kwa 78% kule kwao, ila final score ilikuwa ni 2-0 baada ya Orlando kupata ontarget mbili tu.

Mwalimu aongee na wachezaji waache kuremba mipira, kama Sakho alikuwa na nafasi kubwa kabisa ya kipiga golini ila akataka madoido.
 
Back
Top Bottom