Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mugalu Kampiga Kiwiko GoalkeeperOrlando wanapoteza muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugalu Kampiga Kiwiko GoalkeeperOrlando wanapoteza muda
🤣🤣🤣Leo mbona najiamini sana, sijui kuna nini
Mkuu na thithi utopolo tujitahid next season tufike huku walikofika wenzetu.China ya kwanza hiyo
Imeiga mchezo wa pirates.Simba bado inacheza mpira slow sana
Wata kuja kuutafuta wasiupateOrlando wanapoteza muda
Mbona zetu huwa munaanzisha.Anatia gundu tu huyu Utopolo
Mbona tunaluka luka kikolo kolo tu hadi sasaMkuu na thithi utopolo tujitahid next season tufike huku walikofika wenzetu.
Saoura walimiliki mpira kwa 78% kule kwao, ila final score ilikuwa ni 2-0 baada ya Orlando kupata ontarget mbili tu.wachezaji wetu wa simba wanaremba.....baadhi ya wachezaji wanakaa sana na mpira.....kunakosekana pass za hakara... poor plan......wamedominate mpira/mchezo but they failed to breakthrough.
Kuna Kitu Kizito Kinaenda Kuponda WatuMbona zetu huwa munaanzisha.
Kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. [emoji28]