FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Anamaanisha hakuna ubunifu kutoka kwa CAM waliopo na yupo sahihi, Simba ikipata mtu wa kati mshambuliaji makeke wa kuamisha mpira kutoka midfield kwenda kwenye eneo la ushambuliaji Simba itakuwa hatari sana.
sawa kabisa Ntibanzokinza kwa mfumo wa leo yy ndiye CAM lakini haifanyi hiyo kazi ipasavyo au wabadili mfumo
 
Mkuu hama timu, maana si kwa kuikatia timu tamaa kiasi hiki. Thread nzima imejaa message zako tu.
Jamaa ana mahaba na Simba na anatoa 'positive criticism' yenye kujenga ili mnyama awe bora zaidi ya hapa.

Usipaniki.....
 
Reactions: Tsh
sawa kabisa Ntibanzokinza kwa mfumo wa leo yy ndiye CAM lakini haifanyi hiyo kazi ipasavyo au wabadili mfumo
Tuendelee kuiombea mema, ni suala la muda tu Simba tunayoijua itarejea katika ukamilifu wake na zaidi.
 
Kapombe nimzuri tatizo Amekuzo wa na Siku Mbaya hivi Karibuni
Kapombe alikuwa mzuri lakini sasa uwezo umepungua, ujue alienza kucheza akiwa na umri mdogo,kwa miaka aliyocheza mwili umechoka kwani misimu yote ni yeye na Tshabalala bila kupumzishwa hawa nao ni binadamu.
 
Umezingua sana, umenipa wakati mgumu kujieleza kwa mwanaume wangu kwa upuuzi wako.

Nimekuchukia mno!

Mambo ya kutukanana nilishayaacha miaka hiyo, tusivunjiane heshima.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwanaume wako nae hana akili, yaani anakumind kisa mimi hapa Jf? ID kivuli hii. Serious.

Kama kachukia sana anitafute PM.. Nimalizane nae.
 
Mbona kwa wenzetu watu wanashikamana na timu licha ya mauza uza ya uongozi,

Tupo champions league game za home an away, na kwa hali yetu ya kiuchumi sisi mashabiki nguvu yetu ni hizi game za nyumbani.
 
Jamaa ana mahaba na Simba na anatoa 'positive criticism' yenye kujenga ili mnyama awe bora zaidi ya hapa.

Usipaniki.....
Mwambie sisi wote wana Simba na tunachotaka kukiona ni Simba hatari na anayeogopeka Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…