Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mdogo wangu hatutaki kuziongopea nafsi zetu atiii. [emoji28][emoji28][emoji28]
Dua zenu ziendelee kufeli hivyo hivyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mdogo wangu hatutaki kuziongopea nafsi zetu atiii. [emoji28][emoji28][emoji28]
sawa kabisa Ntibanzokinza kwa mfumo wa leo yy ndiye CAM lakini haifanyi hiyo kazi ipasavyo au wabadili mfumoAnamaanisha hakuna ubunifu kutoka kwa CAM waliopo na yupo sahihi, Simba ikipata mtu wa kati mshambuliaji makeke wa kuamisha mpira kutoka midfield kwenda kwenye eneo la ushambuliaji Simba itakuwa hatari sana.
Jamaa ana mahaba na Simba na anatoa 'positive criticism' yenye kujenga ili mnyama awe bora zaidi ya hapa.Mkuu hama timu, maana si kwa kuikatia timu tamaa kiasi hiki. Thread nzima imejaa message zako tu.
Umezingua sana, umenipa wakati mgumu kujieleza kwa mwanaume wangu kwa upuuzi wako.Hahaha nimefurahi sana.
Tuendelee kuiombea mema, ni suala la muda tu Simba tunayoijua itarejea katika ukamilifu wake na zaidi.sawa kabisa Ntibanzokinza kwa mfumo wa leo yy ndiye CAM lakini haifanyi hiyo kazi ipasavyo au wabadili mfumo
Tutaamini zimefeli after 90 mins. 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dua zenu ziendelee kufeli hivyo hivyo..
Kapombe alikuwa mzuri lakini sasa uwezo umepungua, ujue alienza kucheza akiwa na umri mdogo,kwa miaka aliyocheza mwili umechoka kwani misimu yote ni yeye na Tshabalala bila kupumzishwa hawa nao ni binadamu.Kapombe nimzuri tatizo Amekuzo wa na Siku Mbaya hivi Karibuni
😂😂😂 Mwanaume wako nae hana akili, yaani anakumind kisa mimi hapa Jf? ID kivuli hii. Serious.Umezingua sana, umenipa wakati mgumu kujieleza kwa mwanaume wangu kwa upuuzi wako.
Nimekuchukia mno!
Mambo ya kutukanana nilishayaacha miaka hiyo, tusivunjiane heshima.
Mbona kwa wenzetu watu wanashikamana na timu licha ya mauza uza ya uongozi,Ni kweli jukumu la kwanza ni kusapoti timu ila na wenyewe wakiona mambo yasiyoridhisha yanafanyika na kuendekezwa huku malalamiko yao yanadharaulika, matokeo yake ndiyo haya sasa.
Mashabiki ndiyo mpango mzima kwa timu zote duniani, wasikilize na ongea nao hata kinafki. Tuache kuwachukulia poa.
Mwambie sisi wote wana Simba na tunachotaka kukiona ni Simba hatari na anayeogopeka Africa.Jamaa ana mahaba na Simba na anatoa 'positive criticism' yenye kujenga ili mnyama awe bora zaidi ya hapa.
Usipaniki.....
Dah!... sorry.Umezingua sana, umenipa wakati mgumu kujieleza kwa mwanaume wangu kwa upuuzi wako.
Ngoja nipige moyo konde tu kusagiana kunguni hivi sio poa kabisa[emoji3][emoji3]Tutaamini zimefeli after 90 mins. [emoji1787]
Eendiwoooooooo ndiwooo rafiki No unafiki🤠!!Mdogo wangu hatutaki kuziongopea nafsi zetu atiii. 😅😅😅
Sikia, punguza shobo na nipotezee sitaki mazoea na wewe.😂😂😂 Mwanaume wako nae hana akili, yaani anakumind kisa mimi hapa Jf? ID kivuli hii. Serious.
Kama kachukia sana anitafute PM.. Nimalizane nae.
Mshindwe kabisaEendiwoooooooo ndiwooo rafiki No unafiki[emoji1783]!!
PoaSikia, punguza shobo na nipotezee sitaki mazoea na wewe.
Tuvumilie mdogo wangu hamna namna. 😉Ngoja nipige moyo konde tu kusagiana kunguni hivi sio poa kabisa[emoji3][emoji3]