Hahahaaa. Kabeeeesa.Eendiwoooooooo ndiwooo rafiki No unafiki🤠!!
Karibu unyamani mkuu.....huku ndipo kunapokufaa wewe na Bantu Lady .....Tuvumilie mdogo wangu hamna namna. 😉
Mbona wako vizuri tu.kumbuka wako ugenini.Simba ndio wa ovyo kwasababu walitakuwa wapige goli za mapema.Wanacheza utafikiri wana magoli mengi bila kujua ako kamoja lolote linaweza kutokea.Hawa Asec nao wahovyo tu![emoji706][emoji706]
Kama wewe ni shabiki wa Yanga kweli, nikupongeze kwa kutambua mchango wa Simba katka mashindano ya Kimataifa. Umeonyesha uzalendo wa kweliKuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.