FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Kuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.
 
Kanoute na Miquisson wakipasha
PXL_20231125_141424956.MP.jpg
 
Simba kama ihefu fc iseee dah inasikitisha sana yule coach tumemuacha muda sana ametuharibia team kabisa..
 
Uto wambea sana, wamewaambia asec wawe wanapiga za mbali kwamba kipa hakuna
 
Kuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.
Kama wewe ni shabiki wa Yanga kweli, nikupongeze kwa kutambua mchango wa Simba katka mashindano ya Kimataifa. Umeonyesha uzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom