Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Kuna jambo tuelewane, ni faida kwa mpira wetu ikiwa Zote Simba na Yanga zitaenda hatua ya pili. Kufika huko tunahitaji match hizi za makundi tushinde. Hii sio Ligi kuu wala Azam Cup, hapa tunapigania maendeleo ya soka la Bongo. Tuache ushabiki wa kuwaombea leo eti Simba ipoteze kisa sisi jana tumepoteza. Tunasahau kuwa tumefika hapa kwa sababu ya mafanikio ya Simba katika miaka kadhaa nyuma? AGAIN TUACHE USHABIKI USIO NA TIJA TUSONGE WOTE.