Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuonea huruma kocha mpya kwa aina hizi ya wachezaji, atalaumiwa sanaNadhani kocha mpya sa hii anautazama mpira.
Acha tuLilikua linaonekana na wanaweza kuongeza.simba mipango imefeli kabisa.Wanapoteza pasi kizembe sana.na hawa jamaa wameshaona mapungufu ndo maana wanalazimisha kupush.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa ugonjwa sugu uliokomaaHii timu kitu 'clean sheet' ishakuwa msamiati
Kiporo cha pilau🤠Yaani Simba inacheza kama wametoka kulala then wakapewa kiporo cha pilau.
Teeena. Yamekuwa hayo Mkuu.Timu ina matatizo kweli kweli.
Droo nyumbani sio nzuri sanaSasa Yanga naye anacheka Draw kweli..
Haya ni matumizi mabaya ya Kicheko...🤣🤣
Amesahau Jana..
Haya Chama wako kaingia na tukafungwa sasa. Acheni kukariri.pale mbele bado kuna pengo la kutengeneza nafasi pengo la kazi anayoifanyaga chama inaonekana
Jana alikula chuma 3. Kimya leo yalivyo hayana Akili et yanashangilia Draw.Sasa Yanga naye anacheka Draw kweli..
Haya ni matumizi mabaya ya Kicheko...🤣🤣
Amesahau Jana..
Kaka 'muarabu', mbona unataka kutupa taulo mapema hivyo..??😂😂Na tunaweza kufungwa pia sio sare tu
Kazi kocha mpya anayo.Ubovu upo kwa MZAMIRU , SAIDOO lakini ndio hakuna mbadala
Najua lakini bado kuna dakika 7 na nyingeza 5 jumla bado dakika 12Droo nyumbani sio nzuri sana