Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kote ni majanga tu.Ndugu wanasimba hii timu yetu kwa sasa ni mbovu. Sijui tatizo liko wapi? Je, ni uongozi au ni wachezaji?
Simba ni mbovu, asec ni mbovu ila ni bora kwa simba aisee. Simba wamechoka vibaya yani wanazungushwa wanapitika vibaya
Huo ubishi ndiyo unafanya matatizo ya timu kuota suguMbona kwa wenzetu watu wanashikamana na timu licha ya mauza uza ya uongozi,
Tupo champions league game za home an away, na kwa hali yetu ya kiuchumi sisi mashabiki nguvu yetu ni hizi game za nyumbani.
Huu ndio ukweliHakuna Timu hapa tunalaumu makocha bure tu huyu Saido na Mzamiru + mabeki wa pembeni wote ni Takataka tupu
Hakuna timu
Kennedy dah huyu jamaa ni mzito yaan yy ndo baba lao
Timu ya Simba ni mbovu sana. Hawawezi kufika popote.Ndugu wanasimba hii timu yetu kwa sasa ni mbovu. Sijui tatizo liko wapi? Je, ni uongozi au ni wachezaji?