FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Aloo Kweli nyakati zinakuja na kusepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo wabovu Simba walikuwa wanawacheka wabovu wenzao Yanga 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata angekuwepo Mgunda. Mindset na Physique ya wachezaji Simba ipo chini sana.
Overhaul ya kikosi inahitajika kwa kiasi kikubwa.

Sidhani kama Simba itaweza kufanya vizuri kwenye kundi lake, labda miujiza itokee

kabisa ukweli usemwe simba pana shida sehemu. Na alaumiwe aliyemtoa mgunda bora alipopewa team angebakia nayo angeifikisha mbali sana shida hatuamini vya kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…