FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Aloo Kweli nyakati zinakuja na kusepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast.

Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni.

Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii?

Dakika ya 44 gooooal Saidoo. Simba 1 - 0 Asec
Kwa hiyo wabovu Simba walikuwa wanawacheka wabovu wenzao Yanga 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata angekuwepo Mgunda. Mindset na Physique ya wachezaji Simba ipo chini sana.
Overhaul ya kikosi inahitajika kwa kiasi kikubwa.

Sidhani kama Simba itaweza kufanya vizuri kwenye kundi lake, labda miujiza itokee

kabisa ukweli usemwe simba pana shida sehemu. Na alaumiwe aliyemtoa mgunda bora alipopewa team angebakia nayo angeifikisha mbali sana shida hatuamini vya kwetu.
 
Back
Top Bottom