FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Kocha mwenye akili timamu hawezi kumuingiza miqquisone ili ampe matokeo.
Huyo jamaa ashakuwa utopolo.
Mbona kaccheza vizuri.Anatakiwa aongezewe mazoezi.ila tatizo la simba limekua kwenye mbinu sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja.Timu imecheza vile vile dakika zote 90 kitu ambacho hakikua sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikatai ndugu. Ninachopinga ni shabiki kusema eti Kwakuwa fulani hakucheza.
 
Hata angekuwepo Mgunda. Mindset na Physique ya wachezaji Simba ipo chini sana.
Overhaul ya kikosi inahitajika kwa kiasi kikubwa.

Sidhani kama Simba itaweza kufanya vizuri kwenye kundi lake, labda miujiza itokee
haiwezi kwa sasa by the way pale ambapon alipoingia kama kocha mngemwcha na team ila kwa sasa mbombo ngafu
 
Daah ila yanga bana, kwa kuangalia tu safari yao ya klabu bingwa ndio ishaishia hapo kwenye makundi lakini wako busy kuwacheka simba badala ya kujisikitikia wao kwanza, timu bora my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…