FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Shida ilianzia hapa
20231125_180509.jpg
 
Kocha mwenye akili timamu hawezi kumuingiza miqquisone ili ampe matokeo.
Huyo jamaa ashakuwa utopolo.
Mbona kaccheza vizuri.Anatakiwa aongezewe mazoezi.ila tatizo la simba limekua kwenye mbinu sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja.Timu imecheza vile vile dakika zote 90 kitu ambacho hakikua sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss, Kuna watu wameifuatilia Simba miaka na miaka, wanajua timu ikiwa katka ubora huwa ikifungwa hawasemi timu ni mbovu.

Mashabiki wa aina hii wanaposema Kikosi hakipo sawa inamaana wameona hakipo sawa sababu wanalinganisha na misimu iliyotangulia wakati timu inacheza vizuri.
Sikatai ndugu. Ninachopinga ni shabiki kusema eti Kwakuwa fulani hakucheza.
 
Hata angekuwepo Mgunda. Mindset na Physique ya wachezaji Simba ipo chini sana.
Overhaul ya kikosi inahitajika kwa kiasi kikubwa.

Sidhani kama Simba itaweza kufanya vizuri kwenye kundi lake, labda miujiza itokee
haiwezi kwa sasa by the way pale ambapon alipoingia kama kocha mngemwcha na team ila kwa sasa mbombo ngafu
 
Back
Top Bottom