FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Jana alikula chuma 3. Kimya leo yalivyo hayana Akili et yanashangilia Draw.
Ifike hatua mseme ukweli ndo maana leo kuna baadhi yenu waligoma uwanjani kwa sababu hamsemi ukweli timu ikicheza hovyo mnasema imecheza vizuri
 
Wachezaji wazuri Simba hawazidi 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wachezaji wengi ni wazuri, tatizo limekuwa la walimu. Kwa mfano leo, hakukuwa na muunganiko wa timu!! Hii imemfanya Inonga asipande kabisa kusaidia mashambulizi. Kilichokuwa kinatakiwa leo ni kutopoteza mchezo, tuki-buy time kabla kocha hajaanza mpya hajaanza kuisuka timu!! Mambo mazuri yanakuja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…