Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Warekebishe.Kuna migongano na kutoelewana ndani ya Timu (Ndani ya uongozi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warekebishe.Kuna migongano na kutoelewana ndani ya Timu (Ndani ya uongozi)
🤣🤣Moja kati ya Simba mbovu kuwahi kutokea ni kikosi Cha leo.
PoleDaaah najuta kuhama azam. Kumbe hata zbc 2 dstv hamnaga
Kwahiyo leo wanacheza nini??Pira lilichezwa jana,sema ndo hivyo,hatukuweza kuwafunga wale majamaa.Simba ni overrated.
Hawawezi kufanya chochote cha maanaPhiri,Chama wako nje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio my wangu🤣🤣🤣Mkuu ndo kusema unacheka ninacho kicheka mimi? 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani hawa vibonde bado hamjawafunga hamko serious!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Sio leo tuMoja kati ya Simba mbovu kuwahi kutokea ni kikosi Cha leo.
Wanaweza wakaongeza nguvu kipindi cha piliPhiri,Chama wako nje
Toa kennedy tia kanouteAngeanza nani?
Jana walifyata[emoji40]Vibonde wa Jana vipi ?
Ilikuwaje?