Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio my wangu🤣🤣🤣
Kati ya SIMBA na Yanga ipi overrated....Team namba 3 Afrika ikacharzwa 3 Jana 🤣🤣Pira lilichezwa jana,sema ndo hivyo,hatukuweza kuwafunga wale majamaa.Simba ni overrated.
42'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbateseka.
Kacheze kama unaona rahisi.Mimi kama simba nasema timu haina wachezaji
Timu no 1 ili charazwa 5Kati ya SIMBA na Yanga ipi overrated....Team namba 3 Afrika ikacharzwa 3 Jana [emoji1787][emoji1787]
Wakina al ahly wakwanza huko lkn wanacharazwa... huelew unachozungumza wewKati ya SIMBA na Yanga ipi overrated....Team namba 3 Afrika ikacharzwa 3 Jana [emoji1787][emoji1787]
Mkuu,hii simba yetu ni mbovu, wachezaji wapya wenye nguvu wanahitajikaToa kennedy tia kanoute
Toa kibu tia chama
Toa saido tia phiri
Tulia angalia game
🙇🙇🙇🙇🙇😳#Dj walete. 😅😅
Kuna namba zinahitaji sura mpya esp katikati.Mimi kama simba nasema timu haina wachezaji
Jibu hoja kwa hojaKacheze kama unaona rahisi.