Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Wasiopenda wajinyonge[emoji419]
Atleast huyo jamaa anajitahidi kuforce.Kibu anabutua tu
Sawa lakini kwa malengo yapi otherwise tunamipango yakuishia robo tulitakiwa kuwa Bora zaidi kama tuna malengo ya mbele zaidi.Umesahau hii ni hatua ya kukusanya point
Mie Mwenyewe nashangaa...Sasa Mpira uishe nikanywe Bia Zangu...
Refa maliza kipindi cha kwanza Haraka
Furaha unaipimaje?Mbona amn furaha
Cha moto mmekiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji23][emoji23][emoji23]
hatukufiii..!!
Bora mmeona wenyewe!!Tunafunga lakini hatuna furaha pira papatu papatu halitotupeleka kokote daah.
Nao wabovu tuAsec waanacheza utadhani wanapigana mieleka!🤠
Ni mtu na nusu nashangaa kwa Nini kapombe hua anaanza mbele ya huyu dogoHuyu Izra Mwenda yuko poa sana
Huyu dogo sijui kwanini wanambaniaMwenda tokea kitambo wanambania tu ila yuko vzr yule dogo apewe nafasi akuze kipaji
Ambaye hana Furaha ni YeyeUmepimaje kuwa hatuna furaha? Pengine wewe ndiyo huna hiyo furaha
Kapombe nimzuri tatizo Amekuwa na Siku Mbaya hivi KaribuniNi mtu na nusu nashangaa kwa Nini kapombe hua anaanza mbele ya huyu dogo
Kuna jamaa nimemwambia Mwenda yuko vizuri kuliko kapombe kwa sasa akabishaNi mtu na nusu nashangaa kwa Nini kapombe hua anaanza mbele ya huyu dogo