FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁
 
Timu imekosa maarifa, imechoka, haileweki...duh
Tuwe wavumilivu kidogo, mazuri yanakuja naamin hata kama itachukua mda,,

Hizi ni dalili za kurudi kwenye classic yetu.
1, tulikosa sababu ya kumfukuza kocha hadi pale tulipofungwa na mtani,, tusingefungwa na mtani basi tusingempata huyu kocha.

2, Ukiona shida zinazidi ujue neema inakaribia,,

NGUVU MOJA.
 
Back
Top Bottom