Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap!....tunachezea jina tu kwa sasa.ROBERTINO alishasema hamna wachezaji hapo.
HahahahahahahahahaSiji tena uwanjani
Simba ndio wakulaumiwa....😂😂😂😂Siji tena uwanjani
We unategemea utashinda kwa Al Ahly?FULL TIME makolo nayo yamedroo nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee auzwe tu anacheza kama Slow motionKashachoka huyo....
Tuwe wavumilivu kidogo, mazuri yanakuja naamin hata kama itachukua mda,,Timu imekosa maarifa, imechoka, haileweki...duh
Aiseh kocha atalaumiwa sana. Simba yetu dhaifu mno. Tukiwa na mpira na hata tusipokuwa na mpira.Namuonea huruma kocha mpya kwa aina hizi ya wachezaji, atalaumiwa sana
Jana mlipigwa miti mkakaa kimya leo mnajichekesha ktk Mechi ya Wanaume walio kwenye Ndoa.FULL TIME makolo nayo yamedroo nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suala sio kupiga bolo, hapa kinachotakiwa ni ushindi. Mambo ya bolo waachie waswahiliYanga Jana kapigwa, ila Ball alicheza.
kabisa ukweli usemwe simba pana shida sehemu. Na alaumiwe aliyemtoa mgunda bora alipopewa team angebakia nayo angeifikisha mbali sana shida hatuamini vya kwetu.Yanga Jana kapigwa, ila Ball alicheza.