FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Yani Chama anacheza kam Hataki mara kona hii kajibutulia tu kwani shida nin au hajalipwa mshahara ?
Timu nyingi hazijui kutumia mipira ya kona.Wachezaji walitakiwa watawanyike kwa urefu na mapana ili mpira wa kona popote utakapodondoka ukute mchezaji ila wao wanajilundika wote golini kitu ambacho sio sawa kwasababu mpira ukivuka upande wa pili au ukiokolewa unakosa wakuurudisha kwahiyo mipira mingi inapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikatai ndugu. Ninachopinga ni shabiki kusema eti Kwakuwa fulani hakucheza.
Pale kati Simba kwa sasa kuna tatizo bila kujali ni la nani. kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji ni kama hawapo.

Hii ndo inasababisha mabeki wawe na kazi ya ziada kumlinda kipa na wakichoka ndo hivyo tunafungwa na huko mbele kina baleke na phiri wasionekane. Shida ni katikati hakuna ubora.

Ndo maana nikasema kwa Yanga niliyoitazama jana tusije tukakutana nao halafu tukacheza kwa kiwango hichi, tutanyanyasika mno.

Tusidanganyike na Yanga kufungwa na Waarabu, huenda wakafungwa tena ila Waarabu walicheza kwa nidhamu sana dhidi ya Yanga, nidhamu ambayo haipo Simba kwa sasa esp katikati.
 
Hapa sema sio mbaya

Nawakumbusha tumecheza huku kocha wa makipa akiwa kocha mkuu

Tukutane next weekend pale bostwana na proper structure
 
Kiko wapi
20231125_182016.jpg
 
Back
Top Bottom