FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟

Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki.
Karibu.

00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza filimbi,
02 Goool Azam wanapata goli Prince Dube anaunyamazisha mji wa Dar, Simba kimyaaaa
20 Simba wanapambana kupata goli la kisawazisha
30 Mambo ni magumu kwa Simba, ushindani ni mkali na timu zote zinatumia nguvu
45 Kipa wa Azam FC, amegusana na Bocco na kulala, anatibiwa

Mapumziko

Kipindi cha pili kimeanza
50 Simba wanajaribu kupambana lakini walinzi wa Azam FC wapo makini
60 Azam wanavizia kupiga kaunta ataki
70 Shuti la Saido linapanguliwa inakuwa Kona
72 Simba wanaongeza Kasi yao katika kushambulia
90 Simba wanasawazisha kupitia kwa Kibu Denis
 
304887405_2000456733498145_9045582696837505717_n.jpg
 
Daah leo uwanja unaitwa wa hayati kwani ungeweka de le mkapa stadium ungekosa nini mkuu,sie simba tukifungwa tutakulaumu kwa kututajia hayati siku ya mechi
Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟

Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki.
Karibu.
 
Back
Top Bottom