FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Kinyume nyume Fc leo basi litarudi kinyume kuanzia msimbazi mpaka kwa mkapa au route imebadilika?
 
Niwaulize kwanza jezi mmemsusia Vunja Bei? Baada ya dakika tisini leo Billion 20 itakumbushiwa, Bocco na Kibu watatukanwa sana,Manula atafungwa kizembe na atalowa kwa mitusi........neno tuna wachezaji wazee litatawala kwenye Uzi huu.


Guvu moya 😀
 
Huu uzi ufungwe tu. Maana mashabiki wa kurudi kinyume nyume, wameutelekeza uzi wao. Au ndiyo kusema wamekata tamaa mapema kiasi hiki!!

Wasisahau pia watakuwa na safari ya kwenda Morocco na Uganda! Hivyo wajitahidi kuzoea maumivu.
 
Naona Simba iwe full kikosi, full nondo hawakupumzisha nyota wao kwa mechi ya klabu bingwa jumamosi.
 
Fpf8FCbWAAAuU_b.jpg
kikosi
 
Kabisa kabisa Bocco yupo juu ya Phiri na Baleke. Kuna namna hapo...
 
Yanga ni vipofu walioona jua..yani kumfunga Tp Mazembe wanajikuutaaa wakati walifungwa na Ihefu....
Hili hawatakaa walisahau..
 
Yanga ni vipofu walioona jua..yani kumfunga Tp Mazembe wanajikuutaaa wakati walifungwa na Ihefu....
Hili hawatakaa walisahau..
Sijui itakuwaje wiki hii mjikute mnapoteza kwa azam halafu muende Uganda mkapoteze kwa Viper. Yaani ushauri wa bure ni kocha kubeba begi Lake kabisa
 
Back
Top Bottom