FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

IMG_20230218_234451-1.jpg
 
Mazindiko mliyoyafanya hapo Lupaso ili mnyama ateseke Mungu anawaona
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hilo goli inatakiwa lirudi first half, ila Bocco aache kidogo ujinga wake, mechi tatu mfululizo unapoteza tu nafasi za wazi.!!
 
Yan kwa nn sisi mtibwa sukali atukuwafunga zuwena fc mbona hawa ni cha wote aisee watu wanajibondea tu
 
Mbona Simba mnapitika kirahisi hivi? Kwakweli watani wangu mmekuja kucheza leo kiuoga sana,japo staki mpate points 3,basi hata sare basi itawalindia heshima
 
Back
Top Bottom