Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wekeni Dakika wewe dakika ya ngapi?Dube nayeye kapata kadi ya kipuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni Dakika wewe dakika ya ngapi?Dube nayeye kapata kadi ya kipuuzi
Dakika ya 30Dakika ya ngapi au mnaangalia Virtual?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mazindiko mliyoyafanya hapo Lupaso ili mnyama ateseke Mungu anawaona
Asante 🤜🤛Dakika ya 30
Waamuzi bado ni janga la Kitaifa. Ni Tanzania tu faulo ya Kanoute inaadhibiwa Kwa Kadi ya njano.Huyu mwamuzi anawanyima penati azam
Km kocha anampenda sana Bocco, basi aende na washambuliaji wawili ..Kabisa yaani. Ana nini cha ziada cha kumuweka Phiri nje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azam hawa wamecheza na Dodoma jiji wamekuwa weupe. Wamecheza na Singida pia weupe, leo wanapiga pasi kama Raja dhidi ya Simba daah.