FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Kama refa ataendelea kuwa hivi basi Kuna penalty ya Simba na red card ya Azam. Nje ya hapo Simba atafungwq gori lingine.
 
Kwanini waamuzi wengi hupenda kuibeba simba?ikifanya faulo refa anajitia hajaona,
Ikistahili penati kwenda goli la simba refa anapotezea..
Ikitokea mchezaji wa simba akiguswa tu eneo la karibu ya boksi la mpinzani refa anasema ni faulo!
Nyie hamjaliona hili?
 
Azam hawana jipya, tatizo Simba hawatumii nafasi wanazopata ...
Simba SC hawatumii nafasi, ambapo Azam wamepata mbili tu na moja bao, Simba wamepata nyingi, wangekuwa makini ubao ungekuwa Simba wapo mbele.

Prince Dube hahitaji nafasi nyinyi ndo maana nilimuweka katika Kikosi changu, ambapo akina Bila bila wakatukana sana kisa Mayele

Cc Scars
 
Kwanini waamuzi wengi hupenda kuibeba simba?ikifanya faulo refa anajitia hajaona,
Ikistahili penati kwenda goli la simba refa anapotezea..
Ikitokea mchezaji wa simba akiguswa tu eneo la karibu ya boksi la mpinzani refa anasema ni faulo!
Nyie hamjaliona hili?
Mkuu umeandika kwa uchungu sana
 
Tumetoka kufungwa..halafu tumefungwa goli la kustukiza la mapema..pressure ya mashabiki...wachezaji wako na mstuko..njia pekee ni utulivu tu.
Mwanasaikolojia anahitajika wakati huu.
 
Back
Top Bottom