Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Niliiweka uliposema ila nilisahau kukuquote. Hawa watu zamu yao kuteseka kwa utani😂😂😂😂
Oooh kumbe ushaiweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh kumbe ushaiweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Foul halali zote landa yenye mashaka ni hiyo ya Akaminko.Refa anaonesha mapenzi yake dhahiri kwa Simba, anawapa faulo eneo zuri pasipo sababu yoyote ile. Ngoja tusubili tuone mwisho wake
Nilianzisha Uzi humu..kwamba viongozi wa Simba wamemkosea Mgunda..hakuwa na baya.Kuna namna jamani huyu Kocha anatutafuta...hebu ngoja tuone
kabisa uko sahihi nduguNilianzisha Uzi humu..kwamba viongozi wa Simba wamemkosea Mgunda..hakuwa na baya.
Karma ya Mgunda hii.
Jezi nzito unaiona?Hii ni michezoView attachment 2525382
Sichagui refa Ila huyu bado.Hi match refa imemkataa
Bora angepewa hata kayoko
Huu ndio tunaita upumbavu wa kiwango cha juu sana.Mpira ni mkubwa mnooo ..Azam wamelouwaaaa sema bahati ya magoli haipo kwetu aiseee
Huyo zuwena mumchukue ameshakua used..Haya ndio Mambo ninayoyapendaga
Kila la heri AZAM ,piga hao Zuwena SC
Utopolo wanahusikaKale ka goli ka kwanza ni ka kichawi mi nawaambia...leo kama game haitaisha hivi sijui...