FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Huyu Robertinho asije akakosea akamtoa Saidoo, anapambana sana kutafuta goli.
 
Nimesema kwa muda mrefu na kila mechi nasema, Saido siyo mchezaji wa kuanza. Akirudi hamna kitu cha maana atakuja kufanya tena. Kwanza yeye na Chama wamecheza vizuri pamoja game moja tu.
 
Mpira ni mkubwa mnooo ..Azam wamelouwaaaa sema bahati ya magoli haipo kwetu aiseee
Huu ndio tunaita upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Kwa akili hizi Boko bado ana miaka sita ya kuwa striker Simba
 
Kocha aweza kumpumzisha Saidoo Boko...
Inahitajika individual bliliant skills...
Hii mechi kibu anaiweza ..
 
Back
Top Bottom