Simba haikusajili wachezaji wa maana. Kocha tutafukuza mpaka waishe.Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.
Niliwahi kusema hapa mmefanya vizuri sana kumleta kocha katika ya ligi, kisingizio chake ni hakusajili na hakuwa na pre season na timu...... until next seasonKuna namna jamani huyu Kocha anatutafuta...hebu ngoja tuone
Dogo fala saana HUWA anaivia Yanga tuSopu out Lwanga in [emoji91][emoji91][emoji91]
Rass imetishaMlifanya makosa makubwa sana kuingia uwanjani kwa kutanguliza mathako.
kwenye ile mechi na Raja....
ni dhihaka kubwa sana kuwatangulizia wanaume wenzio matko
Hii laana itawatafuna siku zote
Gozi linatembea kuna goli la kipre Cheche mda si mrefu assist toka kwa Prince Dube..61' Kyombo anaingia kuchukua nafasi ya Sakho upande wa Simba SC
Amekulia huko huko..... inawezekana analinda heshima ya honeDogo fala saana HUWA anaivia Yanga tu
Timu imejaa wastaafuWana simba mpunguzage kidomodomo, timu yenu yenyewe ya mabua. Kelele kibao ikishinda kidogo.
Haya mmepeleka aibu nje na leo ndani. Hamfai kwa mafuta wala nazi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Soma hiooo...Gozi linatembea kuna goli la kipre Cheche mda si mrefu assist toka kwa Prince Dube..
Kama Bocco anakosa nafasi za wazi, lipi kosa la kocha?Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.
Aisee nimecheka eti timu imejaa wastaafu. Hufiki mbinguni libevaTimu imejaa wastaafu