Ya nini?Pole mkuu
Tupe dakika ya ngapi uko?Oooooh...Almanusura Dube aweke kambani bao, Jamaa hatari sana kwenye lango la Simba
Uchàwi upoSitaki kuamini moses phiri yupo nje alafu anamuweka kyombo ndani ??? Kweli ???
Huu ni upuuzi.
Azam wakimaliza mbio nini kinatokea?Kwanini Simba wakichukua mpira na wakienda kushambulia hawako Kasi kama wenzao Azam? Hawafundishwi mbio?
Kwa mkapa hatoki mtu 🤣🤣🤣🤣Kale ka goli ka kwanza ni ka kichawi mi nawaambia...leo kama game haitaisha hivi sijui...
Usikate tamaa bado Dak 20 mtachomoa na kushindaHii game ingefaa sana kutengeneza morali ya timu tukielekea Uganda ...
Hata kufungua wanapokuwa na mpira ni shida. Upface pia ni shida. Lakini science ya kawaida ya mpira ni kwamba mkifungwa inabidi muongeze efficiency, hampaswi kwenda na kasi ileile.Makosa yale yale ya RAJA CASABLANCA...
Wings back za simba zinachelewa ku recover..Nusura Azam wafunge counter
Dube anapachika la 2 muda sio mwingi..Uchàwi upo
Jana kuna mcha Mbuzi alikua anawaelekeza hayo makosa sasa sijui hua hawasikilizi?Hata kufungua wanapokuwa na mpira ni shida. Upface pia ni shida.