FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Makosa yale yale ya RAJA CASABLANCA...
Wings back za simba zinachelewa ku recover..Nusura Azam wafunge counter
Hata kufungua wanapokuwa na mpira ni shida. Upface pia ni shida. Lakini science ya kawaida ya mpira ni kwamba mkifungwa inabidi muongeze efficiency, hampaswi kwenda na kasi ileile.
 
71' Ntibazonkiza looooooo kipa anacheza, leo Azam FC wanabahati sana hii nilihesabu kuwa goli..!
 
Back
Top Bottom