FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Kanoute ana Kadi lakini anamla Dube mtama.. KAZI IPO Yaani
 
Mgunda anaiangalia hii mechi, akishushia na Pepsi bariiidi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa kama ni offside Refa anataka atoe kadi ya nini?
 
Huyu refa anawabeba sana Simba. Kanute amecheza zaidi ya faulo 5 baada ya kadi ya njano na bado yupo uwanjani[emoji119][emoji119]
 
Tumefungwa ila moyo wangu una amani kabisa kwa sbb mpira mmeucheza..
Na huu ndo mpira
TUtaendelea kuwa nanyi Simba popote mtakapokua hata mkishuka daraja tutashuka wote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…