FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Kuna wanasimba wenzangu, ni wasengee, utasikia "Kochaa hafai'

Manina zenu

Wachezaji wako na Simba misimu na misimu , wameshachokaa, wamezeeka, ule ushap haupooo ,

Mtegemee mafanikio????.
 
Hawa wako kwenye mgomo baridi. Kosa kubwa tunalolifanya Simba ni kuwalelea hawa wachezaji kama watoto wa osterbay, matokeo yake hawana discipline kabisa. Waafrika hawataki hivyo. Wanataka maisha ya ubandidu flani hivi.
 
Kuna wanasimba wenzangu, ni wasengee, utasikia "Kochaa hafai'

Manina zenu

Wachezaji wako na Simba misimu na misimu , wameshachokaa, wamezeeka, ule ushap haupooo ,

Mtegemee mafanikio????.
Kapombe, Zimbwe, Bocco, mpaka Nyoni nae yuko benchi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…