FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Yani naona mnataka msituone jukwaani ila hatutoki ng'ooooo kinachobakia ni kuwaloga na nyie 😄 😄
Hali yenu kwa sasa 😅😅😅
Kunywa maji mengiii
Screenshot_20230221_204320_WhatsApp.jpg
 
Kuna wanasimba wenzangu, ni wasengee, utasikia "Kochaa hafai'

Manina zenu

Wachezaji wako na Simba misimu na misimu , wameshachokaa, wamezeeka, ule ushap haupooo ,

Mtegemee mafanikio????.
 
Hawa wako kwenye mgomo baridi. Kosa kubwa tunalolifanya Simba ni kuwalelea hawa wachezaji kama watoto wa osterbay, matokeo yake hawana discipline kabisa. Waafrika hawataki hivyo. Wanataka maisha ya ubandidu flani hivi.
 
Kuna wanasimba wenzangu, ni wasengee, utasikia "Kochaa hafai'

Manina zenu

Wachezaji wako na Simba misimu na misimu , wameshachokaa, wamezeeka, ule ushap haupooo ,

Mtegemee mafanikio????.
Kapombe, Zimbwe, Bocco, mpaka Nyoni nae yuko benchi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom