Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mpaka dk 90 ,neva givu apu......Yani naona mnataka msituone jukwaani ila hatutoki ng'ooooo kinachobakia ni kuwaloga na nyie 😄 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka dk 90 ,neva givu apu......Yani naona mnataka msituone jukwaani ila hatutoki ng'ooooo kinachobakia ni kuwaloga na nyie 😄 😄
Waamuzi wetu Kivyetuvyetu.Hii offside ya mchongo
Hali yenu kwa sasa 😅😅😅Yani naona mnataka msituone jukwaani ila hatutoki ng'ooooo kinachobakia ni kuwaloga na nyie 😄 😄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wew mwangu unatisha haswaMadunduka kuona sisi Yanga daima mbele. Wao wameona wivu wamekuja na kinyumenyume dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaocomment ni Shoga zake AzamWanaocheza ni Azam..
Pia haikuwa offside alikuwa anaiokoa SimbaLine 1 alinyoosha kibendera kabla hata ya faulo kuchezeka
Kapombe, Zimbwe, Bocco, mpaka Nyoni nae yuko benchi[emoji1787][emoji1787]Kuna wanasimba wenzangu, ni wasengee, utasikia "Kochaa hafai'
Manina zenu
Wachezaji wako na Simba misimu na misimu , wameshachokaa, wamezeeka, ule ushap haupooo ,
Mtegemee mafanikio????.
.Huyu refa anawabeba sana Simba. Kanute amecheza zaidi ya faulo 5 baada ya kadi ya njano na bado yupo uwanjani[emoji119][emoji119]
Kuna mtu kasema refa amalize mpira wengine tunakaa mbali 🤣🤣🤣Refa maliza hii mechi, sisi madunduka tumeridhika na haya matokeo.
Nyie kurudi kinyumenyume ni uchawi, mtapoteza mechi zote zilizobaki.