FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Kuna mtu kasema refa amalize mpira wengine tunakaa mbali 🀣🀣🀣
Eti??? Watu wana maneno πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Mbona Kyombo mpira unangonga tu shida nini.. Ilikuwa nafasi ya kuingia Phiri
 
Mambo ya Ajabu sana watu wako Simba misimu mingiiii alafu haohao wakupe matokeo unaotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna style za ajabu sana, Guardiola mwenyewe licha ya ufundi wake hufanya evolution ya timu, alitoa Sterling, Zichenko, na Jesus, akaweka kina Grealish, then juzi tena kamtoa Cancelo kwenda Bayern, Simba tunakomaa na wachezaji hao hao zaidi ya misimu sita kudadekii[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…