FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Simba huu uzi wenu, mbona mmeukimbia?
Ila mwenzenu vidole vimechoka kutype acheni tu, toka kwa Mkapa hatoki mtu. Mpaka leo mnalamba ice cream ya ukwaju πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Mgunda anajua kwanini? Sijawahi kumuamini toka apewe usaidizi.
 
Aiseee..Simba SC wanakosa sana nafasi..Mwe...Mwe...Mwe.. Nguvu Moja [emoji881]
 
Mo Dewj ,Hana Mchango na Simba Sasa, Uwekezaji wake unazidiwa mbali kabisa na Baresa wa Azam
 
Simba huu uzi wenu, mbona mmeukimbia?
Ila mwenzenu vidole vimechoka kutype acheni tu, toka kwa Mkapa hatoki mtu. Mpaka leo mnalamba ice cream ya ukwaju πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Tupo hutuoni au ndo kujishauwaaaπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…