FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium ๐ŸŸ

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium ๐ŸŸ

Simba huu uzi wenu, mbona mmeukimbia?
Ila mwenzenu vidole vimechoka kutype acheni tu, toka kwa Mkapa hatoki mtu. Mpaka leo mnalamba ice cream ya ukwaju ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
Mgunda anajua kwanini? Sijawahi kumuamini toka apewe usaidizi.
 
Aiseee..Simba SC wanakosa sana nafasi..Mwe...Mwe...Mwe.. Nguvu Moja [emoji881]
 
Tuna style za ajabu sana, Guardiola mwenyewe licha ya ufundi wake hufanya evolution ya timu, alitoa Sterling, Zichenko, na Jesus, akaweka kina Grealish, then juzi tena kamtoa Cancelo kwenda Bayern, Simba tunakomaa na wachezaji hao hao zaidi ya musimu sita kudadekii[emoji1787][emoji1787]
Mo Dewj ,Hana Mchango na Simba Sasa, Uwekezaji wake unazidiwa mbali kabisa na Baresa wa Azam
 
Simba huu uzi wenu, mbona mmeukimbia?
Ila mwenzenu vidole vimechoka kutype acheni tu, toka kwa Mkapa hatoki mtu. Mpaka leo mnalamba ice cream ya ukwaju ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
Tupo hutuoni au ndo kujishauwaaa๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Back
Top Bottom