FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Gooo looooooo Kyombo anakosa nafasi nzuri ya kufunga.. SIMBA Nguvu Moja
 
Anaongea sana lakini ana ubahili ndani yake, tuliwakosa kina Djuma Shaban, Aucho, Manzoki, na wengine .. hawa wangefaa kuwa mbadala wa kina Zimbwe ili nao wapumzike ..
Tungewapata hao...Leo tusingehangaika ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…