denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Ndio mbona wewe pumzi imekata kiaina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kocha wa Simba anashangilia sare?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mbona wewe pumzi imekata kiaina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kocha wa Simba anashangilia sare?
Meza wembeNmekasirika😂😂
Yes, nani.vp amefunga nani?
Hata naangalia basi? Nimeacha dkk ya 45😂😂😂😂
Dakika ya ngapi kwani?
Kim Jong UnEti timu gani hii wanashangilia sare hapa?
vp amefunga nani?
Update mkuu using ie mitini ubao unasomaje tenaDak ya 80 ubao bado unasoma
Azam 1-0 kinyumenyume
😂Adui mwombee njaaMeza wembe
Tungewapata hao...Leo tusingehangaika iviAnaongea sana lakini ana ubahili ndani yake, tuliwakosa kina Djuma Shaban, Aucho, Manzoki, na wengine .. hawa wangefaa kuwa mbadala wa kina Zimbwe ili nao wapumzike ..
Hongera utalala leo sasaBalaaa rafiki
Azam wamejifunga?Yes, nani.
Nani kafunga?Hongera utalala leo sasa
🤣🤣🤣🤣🤣Hata naangalia basi? Nimeacha dkk ya 45
Naangalia hapa..naipenda Simba mpk naumwa mtani unanisaidiaje?
Haha kocha hana kosa hapa kikosi ndiyo butu hakinoleki tena.Huyu kocha hatuli nae pasaka😂
Kibu DenisNani kafunga?