Yeah, si mbaya kupumzika, maisha yenyewe mafupi. Huwa namsifu sana Morrison, ikitokea break ndogo sijui ya Mapinduzi Cup au ya michezo ya timu za taifa, yeye anajipa ruhusa huyoo mapumzikoni Ghana. kwa nini ajichoshe wakati akienda au asipoenda bado ataingiziwa 23M zile zile kila mwezi? Na ruhusa aliyojipa ikiisha anajiongezea wiki mbili na hela analipwa! π