FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Moderator shabiki mwenzangu wa kinyume fc au unasemaje mtani Shadeeya

Naona hataki kubadili heading
 
Hii ni michezo
20230221_122504.jpg
 
Zimbwe anachoka Sanaaa Atafutiwe Mbadalaa
Sio huyo pekee, kuna analysis naifanya pale Simba panahitajika kufumuliwa kwa namna ya kipekee mwisho wa msimu, huyo Zimbwe simlaumu, jamaa amecheza mfululizo misimu zaidi ya mitano!

Hii kitu haipo pengine duniani, ni Simba pekee..
 
Subilia kwanza mfumuliwe hayo mengine tutayafanyia kazi mwishon mwa msimu
 
10'' Mashambulizi kadhaa pande zote mbili, huku Azam FC wakiwa mbele ya bao moja kwa bila
 
Back
Top Bottom