FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Nilisema mapema Saidoo anapaswa kupumzika...hayuko sana teamwork
 
Dakika zilizobaki anashindwa kumuingiza sawadogo au hawamuamini? Hata kwa dakika hizi chache maana kanote anapata red sio muda mrefu
 
78' Zayed anaingia kuchukua nafasi ya Bajana upande wa Azam FC
 
Kuna watu kama vile hawaoni huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ni mwendo wa vipigo tu paka watueleze Ile bil 20 ya mchongo Mudi aliiweka wapi
Ukishaelezwa inaingia kwenye pato la familia yako??

Acha ujinga na uvivu em fanya KAZI😅😅
 
Back
Top Bottom