leadermoe
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 1,392
- 4,588
Jamani waacheni wapumzike watan wetu hawa[emoji3]Mgunda anaiangalia hii mechi, akishushia na Pepsi bariiidi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani waacheni wapumzike watan wetu hawa[emoji3]Mgunda anaiangalia hii mechi, akishushia na Pepsi bariiidi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wanaocheza ni Azam..Acheni wanga nyie utopwozi
Wanaelekezwa kila siku yaan wacheze namna mbili either counter defensive au counter attacking Ila hawaelewi kwa hio kinachofuataMakosa ya wachezaji wa Simba hauhitaji kuwa na degree kujua.
Ukishaelezwa inaingia kwenye pato la familia yako??Kuna watu kama vile hawaoni huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ni mwendo wa vipigo tu paka watueleze Ile bil 20 ya mchongo Mudi aliiweka wapi
Yani naona mnataka msituone jukwaani ila hatutoki ng'ooooo kinachobakia ni kuwaloga na nyie 😄 😄
Ndiyo wetu hao 🤣Washika kinebendera wetu ni tatizo sasa ile ndio offside gani.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!
Kocha kaona anafaaSitaki kuamini moses phiri yupo nje alafu anamuweka kyombo ndani ??? Kweli ???
Huu ni upuuzi.