FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

Kombe la looser aliita msemaji wenu Manara
Losers kuanzia mwaka jana hawachezi shirikisho... wanatolewa kijumla wanaposhindwa. Utopolo walikuwa losers wa mwisho kuruhusuwa kucheza shurikisho.
 
Kosa kubwa sana walilofanya Simba ni kumwacha Jean Baleke kwa "thank you" bila fight yoyote. Sijui viongozi wa Simba walikuwa wanafikiria nini; utadhani vichwani wamejaza tui la nazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…