FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Itewe, Godima, Kiwanja hadi Itumbi tunajiandaa kuikarabati timu yetu ya Ken Gold
 
Fadlu amenikwaza sana kipindi cha pili. Sub alizofanya amefanya bila mipangilio yoyote ile. Ni kama hajui kwamba kuna wakati kunakuwa na ligi ya idadi ya magoli.
Alafu Wachezaji wanapoteza muda,ari ya kutafuta magoli zaidi ipo chini au sijui ndio wamezidiwa mbinu na Wapinzani hata sielewi.Tukija kukutana na timu kama Singida au Tabora roho si zitakuwa mikono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…