FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Kesho atapanda kwa uweza wa makosa ya kibinadamu
IMG_4648.jpeg
 
Chunya kulikuwa na timu inaitwa Itewe City hii ilikuwa ni timu yangu kabisa ambayo ilitoholewa kutoka kwenye timu ya Rangers.

Hao Itewe City ndio walikuwa level ya Ken Gold, Ken Gold kumshundanisha na Simba ni sawa na kichwa cha jogoo ukikebesha cement.
Itewe, Godima, Kiwanja hadi Itumbi tunajiandaa kuikarabati timu yetu ya Ken Gold
 
Fadlu amenikwaza sana kipindi cha pili. Sub alizofanya amefanya bila mipangilio yoyote ile. Ni kama hajui kwamba kuna wakati kunakuwa na ligi ya idadi ya magoli.
Alafu Wachezaji wanapoteza muda,ari ya kutafuta magoli zaidi ipo chini au sijui ndio wamezidiwa mbinu na Wapinzani hata sielewi.Tukija kukutana na timu kama Singida au Tabora roho si zitakuwa mikono.
 
Back
Top Bottom