Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Wa Yanga juzi ulianzishwa saa ngapi?Poor 5imba,siku hizi nyuzi za match zinaanzishwa asubuhi badala ya watu kugombania kuanzisha saa sita usiku
ShindwaSiku nyingine ya majonzi kwa mashabiki wa Simba. Hakuna kupoa
Usikimbie baadaeKila la kheri mtibwa sukari
Kama kawaida yangu sikimbiagi Mimi wewe ndio unakimbia kaka kama Uzi ulio pita ulinikimbia πUsikimbie baadae
Wa Yanga juzi ulianzishwa saa ngapi?
Tukiwa na Namungo? Acha kujitafutia dhambiKama kawaida yangu sikimbiagi Mimi wewe ndio unakimbia kaka kama Uzi ulio pita ulinikimbia π
Ndio kaka πππ hadi ile ya Simba na Yanga ulikimbiaTukiwa na Namungo? Acha kujitafutia dhambi
Hauwezi kuona maana mna mwiko nyumaMkuu tumbili haonagi nanii yake?π€£π€£π€£
Mbona unatapatapaNdio kaka πππ hadi ile ya Simba na Yanga ulikimbia
Mimi wa kwanza wewe 3 πππMbona unatapatapa
πΈπMimi wa kwanza wewe 3 πππ