MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Uwepo wako tu humu ushafika mbinguni unahisi mashabiki wanapenda walichofanyiwa na wachezaji/vopngoziUzi umedoda πππ
Simba tunaihitaji nafasi ya pili, ipo hatarini kuchukuliwa na Azam, hatuwezi fanya huo utopolo. Yanga fanyeni mkifanikiwa kwaokoa tengenezeni bango.Simba mngewaachia point 3 Mtibwa, Yanga tukawaachia na Azam akawaachia hizi point 9 zingewafaa jumlisha droo kadhaa watakazopata ingewanusuru kushuka daraja. Hiki ni kiwanda cha wachezaji ambacho hamna mpenda soka anafurahi kuona wakiondoka.
Ni uzembe wao wenyewe hao Mtibwa. Nahisi nao wana shida kwenye uongozi wao. Wanashindwa kwenda hapo Congo wakapata wachezaji wazoefu kama 3 wakawachanganya na madogo wanaowakuza?Simba mngewaachia point 3 Mtibwa, Yanga tukawaachia na Azam akawaachia hizi point 9 zingewafaa jumlisha droo kadhaa watakazopata ingewanusuru kushuka daraja. Hiki ni kiwanda cha wachezaji ambacho hamna mpenda soka anafurahi kuona wakiondoka.
Bila picha post yako ni batiliWenzangu mnamwona mwamuzi namba 2 au mmefocus kwenye boli tu?
Mwenye jina lake tafadhali nimfollow kabisa maana mimi napenda wanawake waliojaaliwa neema za mnyaazi Mungu.
Mkuu nilikuwa naangalia tv hapa bar nimeshindwa kumpiga picha ila kajaaliwa na anatabasamu fulani hivi!Bila picha post yako ni batili
Wamestahili kwakweli hamna timu hapoRasmi mtibwa yashuka daraja
Ile kesi ya mwanzo haijaisha! Umetafuta pa kutokeaππ π sawa bina.
Uzi umedoda πππ