Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mechi mbili zilizopita wala sio historia, Hapa yaani nazungumzia mechi mbili ndani ya siku saba tu zilizopita, assist ya vichwa vya Kibu zilizaa bao la kwanza la kule Malawi dhidi ya Bullets, na bao pekee dakika za mwisho hapo Mbeya dhidi ya PrisonsTusiogope kuambiana ukweli sababu ya historia mkuu. Kumbuka haya mashindano ni ya mtoano yanahitaji ubora wa mchezaji kila anapohitajika uwanjani.
Kibu ni mzuri lakini anafanya makosa mengi sana uwanjani kabla hajafanya moja zuri.