Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Za Mechi dhidi ya team ya Umiseta [emoji848]Mayele ana goal ngap CHAMPION LEAGUE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za Mechi dhidi ya team ya Umiseta [emoji848]Mayele ana goal ngap CHAMPION LEAGUE?
Kweli hebu tusiwadidimize wachezaji wetuTuwe fair, Kibu ameibeba sana Simba mechi mbili zilizopita, Ya hawa Bullets kule Malawi na ya Prisons. Tusiwe wepesi kusahau mchango wa mchezaji
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Safi sana, Tanzania moja...Simba chapa wanyasa hao waendelee kuwa beki tatu majumbani kwetu
Wachezaji wa kibongo inatakiwa kuachana na hii kitu ili wafike mbali zaidi ya hapa.Nasikia anainywa sio kuivuta
Ila mkuu sina uhakika ni maneno ya mtaani tuu hayo eti kuna picha alipiga ametoa macho yani jicho jekundu kama nyanya watu wakaconcludeWachezaji wa kibongo inatakiwa kuachana na hii kitu ili wafike mbali zaidi ya hapa.
Hawamtaki nini?Sakho ameingia na mchezo umepooza
Makundi haifiki team kwa bahati, Yanga Sc hamtayaona makundi forsure.Wewe ndio mmiliki wa makundi kiasi kwamba una amua nani aende nani abaki?
Yule mzee na kitambi chake kisicho na maana alikuwa anatuvuruga tu.Our own Pep anafanya yake bila mbwembwe nyingiZoran alipaswa kufurumishwa na vibao juu
Hahahaha wabongo wape picha maneno wataweka wenyeweIla mkuu sina uhakika ni maneno ya mtaani tuu hayo eti kuna picha alipiga ametoa macho yani jicho jekundu kama nyanya watu wakaconclude
Una unavyoadika for sure kama unajua maana yake,,,wewe gumbalu rudi shule.Makundi haifiki team kwa bahati, Yanga Sc hamtayaona makundi forsure.
Tusiogope kuambiana ukweli sababu ya historia mkuu. Kumbuka haya mashindano ni ya mtoano yanahitaji ubora wa mchezaji kila anapohitajika uwanjani.Tuwe fair, Kibu ameibeba sana Simba mechi mbili zilizopita, Ya hawa Bullets kule Malawi na ya Prisons. Tusiwe wepesi kusahau mchango wa mchezaji
Yani kila mtu anatoa comment utadhani walimuona hahahHahahaha wabongo wape picha maneno wataweka wenyewe
Duuu wasije tutengenezea saladManadiliko kwa upamde wa Bullets
kabichi ametoka kaingia Mchicha
Hahahaha ila jf watu mnaweza kutaka hata kupigana na hamuonaniUna unavyoadika for sure kama unajua maana yake,,,wewe gumbalu rudi shule.